Kamanda Jumanne Muliro ajibu madai kuhusu SACP Faustine Mafwele ‘Ni Riwaya za kusadikika”

Kamanda Jumanne Muliro ajibu madai kuhusu SACP Faustine Mafwele 'Ni Riwaya za kusadikika''
Kamanda Jumanne Muliro ajibu madai kuhusu SACP Faustine Mafwele ‘Ni Riwaya za kusadikika”

“Moja ya vitabu vyake (Shaban Robert) kiliitwa kitabu cha kusadikika, sadikika, vitu vya kufikirika na kwenye jamii kuna makundi na watu wa namna hiyo wanaokuwa na vitu vya kusadikika na vitu vya kufikirika, sasa na katika riwaya ile alieleza moja ya majibu ya watu wa mitizamo wa fikra za kusadikika, unaweza ukakaa usiwajibu lakini majibu baadaye wakayapata wenyewe kutokana na uhalisia”, Majibu ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro leo alipoulizwa kuhusu mambo yanayozungumzwa mitandaoni kuhusu SACP Faustine Mafwele.

&nbsp

Related Posts