Waliokufa Kutokana na Maandamano ya Sabasaba Kenya Wafikia 31
Waliokufa kutokana na maandamano ya Sabasaba Kenya wafikia 31 Taarifa ya tume hiyo pia imeeleza watu waliojeruhiwa ni 107, wasiojulikana walipo ni 2, huku 532 wamekamatwa na Polisi wa nchi…