Kennedy Musonda Kutimkia klabu ya Al Ittihad ya Libya

Kennedy Musonda anatarajiwa kujiunga na klabu ya Al Ittihad ya Libya kwa msimu ujao wa 2025-26 akitokea Yanga SC 🇹🇿

Taarifa ya ndani inaelezea kuwa Yanga hawana mpango wa kuendelea kubaki na mchezaji huyu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *