“…MWAMUZI AWE FAIR…ASITUNYIME KAMA ALIVYOTUNYIMA PENATI MBILI MCHEZO ULIOPITA…”

🎙 ” Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)…

Hivyo utakuwa mchezo wa kuvutia. Natumai Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa nusu Kijani, Nusa Nyekundu na kujaa kwa uwezo wake wote wa watazamaji 60,000 walioketi…Na nina hakika utakuwa mchezo bora sana…

Tuwe na matumaini mara hii, iwapo itatokea mazingira ya Penati na ni ya wazi kama ilivyokuwa kwenye mchezo uliopita tulipopata nafasi mbili za namna hio kupitia Kibu Denis…Tuombe iwe fair na wazi (toka kwa mwamuzi)…

Kwa sababu tunahitaji sherehe ya Soka la Tanzania kufanyika siku hio…Tuna Mchezo wa Yanga Na Simba ni mchezo wa timu mbili kubwa zaidi nchini na siku hio tutakutana Uso kwa Uso na bila shaka dunia itakuwa inatazama…”

Fadlu Davids-Kocha Mkuu, Simba SC baada ya mchezo v Kagera Sugar hio jana, akizungumzia mchezo wa Juni 25 wa Karikoo Derby v Yanga SC.


Alikataa kuolewa ili amkomboe mama yake... Lakini mama ndiye aliyemuuza!

GORYANAH –Hii ni story ya Moto Sana yenye hisia na Mafunzo, binti jasiri anayepambana na siri nzito, umaskini na hatari kubwa kwa ndoto zake! Pakua app yetu ufurahie Sehemu ya 1 Hadi ya 5,na mwendelezo wake kila JUMAMOSI SAA MOJA KAMILI JIONI BURE!

BONYEZA HAPA KU DOWNLOAD.

Ukiona ujumbe wa allow notification bonyeza allow ili uwe mwanafamilia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *