Nature

Licha ya Kufundishwa na Makocha Watatu Tofauti Msimu Huu Yanga Wametoboa Kibabe Sana

Msimu huu Yanga imefundishwa na makocha watatu tofauti [Gamondi, Ramovich na Hamdi] kama wangekuwa hawana kikosi imara pengine ndio ingekuwa mwanzo wa anguko lao lakini mambo yamekuwa tofauti! Yanga imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania huku kila kocha akiwa na mchango wake mkubwa katika ubingwa huo.

Kati ya timu 15, timu 12 zimemefungwa na Yanga nyumbani na ugenini [nje na ndani] ni timu tatu tu [Azam, Tabora United, JKT Tanzania] ndio hazijachangia alama zote kwa Yanga.

Wananchi wamepoteza mechi mbili tu! Walifungwa na Azam FC na Tabora United halafu wakatoka sare mchezo mmoje dhidi ya JKT Tanzania, mechi nyingine zilizobaki [27] walitoa vichapo!

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *