Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Mambo Magumu Jangwani, Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz
Sports News

Mambo Magumu Jangwani, Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz

October 19, 2025October 19, 2025 ajirayako

Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz.

Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya kupoteza mchezo kwa kufungwa ugenini na Silver Strikers bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Folz raia wa Ufaransa alijiunga na Wanajangwani hao, Julai, 2025 akitokea klabu ya Olympique Akbou ya Algeria ambako alikuwa Mkurugenzi wa Ufundi.

Kocha Romuald Rakotondrabe kutoka Madagascar anatajwa kuwa ndiye atakayechukua nafasi ya Mfaransa huyo

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Yanga Yapigwa Malawi Ligi ya Mabingwa CAF
Next: Kifo cha Raila Odinga Chatikisa Kenya, Aagwa Kishujaa, Haijawahi Kutokea, Atakumbukwa kwa Mengi

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Drogba Atoa Kauli Kupokonywa UBINGWA Senegal

  • Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.