Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Yanga Yapigwa Malawi Ligi ya Mabingwa CAF
Sports News

Yanga Yapigwa Malawi Ligi ya Mabingwa CAF

October 19, 2025October 19, 2025 ajirayako

Wananchi, Young Africans Sc wameanza hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa kipigo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Malawi.

Mchezo wa marudiano utakaopigwa Oktoba 25, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa utaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya makundi ya CAFCL msimu wa 2025/26.

FT: Silver Striker 🇲🇼 1-0 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 76’ Andrew Joseph

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Nilivyolipizwa Kisasi na Aliyeniumiza Baada ya Kunitendea Vibaya, Sasa Anaomba Msamaha Kila Siku
Next: Mambo Magumu Jangwani, Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

  • Ommy Dimpoz avunja ukimya! Amjibu Dudu baya kumuita “chakula”, Apondwa Dudu Baya kwa alichofanya

  • Ukweli wote kuhusu Dotto Magari kupima UKIMWI live Arusha, Adai MI.800 kwa Cherry, amtaja Mwijaku

  • Yanga Yatozwa Faini ya Milioni 5, Afisa Usalama Apelekwa Kamati Ya Maadili

  • Elizabeth Makune Aibuka Miss Universe Tanzania 2026

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.