Mlete Mzungu wa Simba Awania Kiatu Cha Mfungaji Bora

Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia 🇷🇸.

Na Hizi hapa ni Takwimu zake
🔹MECHI 38
🔹MABAO 30
🔹ASSIST 12
Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 42 mpka sasa katika michezo 30.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *