Msimamo Ligi Kuu NBC Premier League 2024 /25
Msimamo Ligi Kuu NBC Premier League 2024 /25 Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Bara / NBC Premier League 2024/25 Standings & Standings. The NBC Premier League is a men’s…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Msimamo Ligi Kuu NBC Premier League 2024 /25 Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Bara / NBC Premier League 2024/25 Standings & Standings. The NBC Premier League is a men’s…
Ligi Bora Afrika Best Football Leagues in Africa 2024/2025 Top 10 Best Leagues In Africa 2024/2025 Strongest league in Africa: Top League refers to the top professional football (soccer) leagues…
Nitashangaa sana kama Yanga watakuwa mabingwa msimu huu na kama watakuwa mabingwa msimu huu basi ujue ligi yetu ni ligi dhaifu sana kwasababu wamekuwa na ups and down nyingi, wanacheza…
Shomari Kapombe amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo baada ya kutoa pasi saidizi βassistsβ mbili wakati Msimbazi wakirejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi mnono wa 3-0. Jean…
Kilimanjaro Imetolewa Mapinduzi CUP Bila Ushindi wa Goli Lolote, Inauma Wawakilishi wa Tanzania bara timu ya Kilimanjaro Stars imemaliza mechi zake tatu za hatua ya makundi kwenye Mapinduzi Cup kwa…
Simba aliingia kwenye mechi na mfumo wa 3-4-3. Kwa maana ya mabeki 3 nyuma, 4 kati, na juu 3. Mfumo ulionyumbulika kwenye 4-2-3-1 wakiwa na mpira, na 5-4-1 wakiwa hawana…
Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi, ametoa ujumbe wa shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka rasmi klabuni humo. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Gamondi…
KOCHA mpya wa Yanga Sc, Sead Ramovic ambaye ni muumini wa mfumo wa 4-2-3-1, akiwa na TS Galaxy ya Afrika Kusini kwenye mechi 6 za ligi, hajashinda mechi hata moja,…
Klabu ya Yanga leo imetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Miguel Gamondi na kumtangaza kocha mpya Sead Ramovic. Gamondi ambaye ameiongoza timu hiyo kwenye mechi 40 akishinda 34…
Yametimia, Yanga imemtangaza kocha raia wa Ujerumani Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyetupiwa virago. Saa chache baada ya Yanga kutangaza kuachana na Gamondi,imemtangaza Mjerumani huyo ambaye alianza msimu…
ππππ π, π ππ¨ππ , π’ππ₯ππ πππͺπππ¨π§ππππͺπ ππ¨π¦ππππππͺπ π¬ππ‘ππ. βJonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga. Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua…
Uongozi wa Young Africans Sports Club umesema kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Taarifa iliyotolewa leo November 14,2024 na Uongozi wa Yanga imesema…
βKwa kukiangalia kiwanda tulipotoka na hapa tulipo unaona thamani ya makocha wazawa inaongezeka, makocha wazawa wameanza kutengeneza thamani lakini hiyo thamani inatengenezwa na makocha wenyeweβ βKama Ukilinganisha na makocha wa…
Mohammed Salah anahusika na bao kila dakika 67.4 kwenye mashindano yote akiwa na Liverpool msimu huu amepachika mabao 20 katika dakika 1,347 alizocheza uwanjani,kiwango chake bora zaidi cha dakika kwa…
Yanga haitanii, kwani kwa sasa inadaiwa ilikuwa hatua ya mwisho ya kumtema aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi na hivi unavyosoma tayari imeanza mchakato wa kumnasa kocha kutoka Algeria,…