Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limetoa taarifa kuwa Mtangazaji Oscar Oscar siku ya kesho Alhamis, 22 Mei 2025 anatakiwa kuripoti katika ofisi zao, Kivukoni, Jijini Dar es Salaam, saa Tano Asubuhi bila kuchelewa.

Baraza halijaeleza kuwa limemuita kwa kitu gani lakini hatua hii imekuja baada ya Mtangazaji huyo kuachia wimbo ambao wengi hawajafurahishwa nao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *