Jina langu ni Godfrey. Ndoto ya kusafiri kwenda nje ya nchi kwa ajili ya masomo au kazi ni fursa inayoweza kubadilisha kabisa maisha yako na ya familia yako, lakini inapotokea kila ukikaribia kuondoka milango inajifunga, unabaki na maumivu na majonzi makubwa.
Kwa miaka minne mfululizo, nilikuwa nikipambana usiku na mchana kupata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Canada. Nilifanya michakato yote halali, nikafanya usahili, na hata kupata barua za mwaliko kutoka makampuni ya huko.
Hata hivyo, kila nilipokwenda ubalozi kuwasilisha maombi ya viza, nilikataliwa kwa sababu zisizoeleweka. Mara tano mfululizo nilikataliwa viza, nikipoteza mamilioni ya fedha nilizozikopa kwa ajili ya ada za michakato hiyo na kubaki nikiwa nimefilisika kabisa. SOMA ZAIDI.
