SIMPLE kwasasa ni ngumu kukabiliana na Yanga yenye Chama & Pacome : wanaifanikisha timu kufika kwenye eneo la mwisho kwa urahisi sana .
Utulivu wakiwa na mpira , Pasia mpira kwa usahihi , shambulia nafasi vizuri ukiwa na mpira na bila mpira then hakikisha unatumia nafasi vizuri ( Rahisi tu Chama angetoka na Hattrick leo )
Huu mnara wa 5G kwa Yanga umekuwa back to back kwa Wananchi π°
DARASA KWENYE KIUNGO π₯
Salum Sure Boy ( BABU KAJU ) anatoa darasa kwenye kiungo : Pasia mpira kwa usahihi na kwenye maeneo sahihi then hakikisha kabla ujapokea mpira ujue wapi mpira unaelekea π ubora wa kuscan nafasi .
Kwenye dakika 45 za kwanza nafikiri ndio mchezaji aliyepiga pasi nyingi sahihi kwenye mchezo huu β¦.. Hii Comb ya Chama na Pacome π₯ wanashambulia nafasi vizuri sana ( Wides area & Half Spaces )
Maxi Nzegeli Mpia akiwa na mpira anajua kuulinda β Physicality yake π
