Michezo Siasa Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Utamaduni Sanaa Na Michezo February 26, 2023 Udaku Special Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria. Related Posts Political News Siasa ACT Yapendekeza Mpina Agombee Urais wa Tanzania August 6, 2025August 6, 2025 Udaku Special Siasa Makalla: Uteuzi wa Wagombea CCM Kufanyika Mwisho wa Julai July 20, 2025July 20, 2025 ajirayako