Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Utamaduni Sanaa Na Michezo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria.

Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Utamaduni Sanaa Na Michezo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *