RASMI: John Mnyika, Godbless Lema Sio Viongozi wa ChademaRASMI: John Mnyika, Godbless Lema Sio Viongozi wa Chadema

RASMI: John Mnyika, Godbless Lema Sio Viongozi wa Chadema

“Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema,

  1. Bwana John Mnyika
  2. Amani Golugwa
  3. Ali Ibrahim Juma
  4. Godbless Lema
  5. Dkt. Rugemeleza Nshala
  6. Rose Mayemba
  7. Salima Kasanzu
  8. Hafidh Ali Salehe
  9. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025
  10. Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025.” -Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *