Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Rasmi: Yanga Wamtambulisha Kocha Huyu Hapa
Sports News

Rasmi: Yanga Wamtambulisha Kocha Huyu Hapa

October 26, 2025October 26, 2025 ajirayako

DAR ES SALAAM; KITENDAWILI cha nani atakuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, kimetegulies usiku huu baada ya klabu hiyo kutambulisha Pedro Gonçalves raia wa Ureno kuwa ndiye atakinoa kikosi chao.

Wasifu wake unaonesha kuwa amepata kuzinoa klabu mbalimbali, lakini pia ameinoa timu ya Taifa ya Angola, anachukua nafasi ya Romain Folz aliyetimuliwa wiki iliyopita

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Nilivyookoa Biashara Yangu Baada ya Wateja Wote Kupotea Ghafla
Next: Mwanaume Kutoka Mwanza Atoa Uzoefu Wake Katika Wizi Wa Pikipiki Na Kilichomfanya Aachane Na Kazi Hiyo Hatari.

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa

  • Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

  • Balaa! Harusi ya Monalisa katoro ni zaidi ya Sendoff, Pesa zamwagwa, Magari, Pol Brand aonyesha

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.