Samia Suluhu Hassan Amteuaji Jaji Mkuu Mpya wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia_suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu waa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya MheshimiwaProf. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tahere 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4:00 asubuhi.

