Sijui Mutale Amepatwa na Nini, Muda Mwingi Anapoteza Mipira na Pasi

Sijui Mutale amepatwa na nini?

“Muda mwingi anapoteza mipira,pasi zake nyingi zinakosa njia,miguu yake imekosa magoli na assist.”

.

“Inawezekana anahitaji muda wa kuzoea ligi,ila atambue hii ni Tanzania sehemu ambapo hakuna project za muda mrefu.”

.

“Haraka sana anatakiwa kurudi kwenye uwanja wa mazoezi na kufanyia kazi mapungufu yake….bado Wana-Simba wanamdai sana.”

.

Anasema; Mchambuzi Hans

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *