Karibu sana Afri Solar Light Ujipatie Taa za Solar za nje , zinajulikana kama Solar Street lights Kwa matumizi ya majumbani, kwenye projects mbali mbali kama ujenzi wa barabara, Mashambani, Viwandani au yard za magari.
Taa hizi zote zinatumia mwanga wa jua tu, ni Automatic Zina Sensor ya kujiwasha usiku na kuzima zenyewe asubuhi, pia Zina kuja na Remote yake, Zina waka masaa 12 na ni water proof haziingizi maji wakati wa mvua
Tupo Dar es Salaam
Call us 0714604974
Chini ni picha ya baadhi ya Taa za dolar tulizonazo:



















