Mtangazaji Diva Atangaza Nia ya Kugombea Ubunge 2025
Mtangazaji mashuhuri wa Kipindi Cha Lavidavi @divatheebawse ambae ni mjasiriamali na mwanaharakati wa wanawake na watoto , ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025…