Mtangazaji mashuhuri wa Kipindi Cha Lavidavi @divatheebawse ambae ni mjasiriamali na mwanaharakati wa wanawake na watoto , ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 akiwakilisha jimbo lake la nyumbani mkoani Tanga.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diva aliandika ujumbe mfupi lakini mzito:

“2025 Natangaza Nia Ya Kugombea Ubunge Nyumbani kwetu Tanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *