Halima Mdee: Mimi Bado nipo CHADEMA, Wasiponihitaji Nitatafuta pa Kwenda
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial mpaka hivi sasa na yupo tayari kuendelea Kufanya kazi na chama hicho.…