Tetesi za Dabi ya Yanga na Simba Kupangiwa Tarehe Nyingine
Taarifa za awali kutoka katika vyanzo mbalimbali vya habari za michezo nchini Tanzania zinaeleza kwamba TFF na bodi ya ligi wanafikiria kupeleka mbele mechi ya dabi ya kariakoo ambayo imepangwa…