Kuelekea Ufunguzi wa Soko la Kariakoo Chalamila Atoa Amri Njia Zote Zifunguliwe Mitaa ya Kariakoo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa muda wa wiki mbili kwa uongozi wa Wafanyabiashara wadogo (Machinga) eneo la kariakoo kuanza kufungua njia ili kuruhusu magari kupita…