Klabu ya Kaizer Chiefs Yahamishia Majeshi Kwa Steven Mukwala..Nabi Atumwa
Klabu ya Kaizer Chiefs ya nchini South Africa imeonyesha Nia ya kumtaka Mshambuliaji wa Simba Steven Desse mukwala huku Kocha Nasreedin Nabi akivutiwa sana na uchezaji wa mshambuliaji huyo. Steven…