TANZIA : Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.
Inaelezwa kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini
Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.
Taarifa Zaidi Endelea Kufuatilia Kurasa Zetu za Mitandao ya Kijamii .
Tunatoa Pole kwa Ndugu Jamaa na Marafiki , Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amen .

