Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Tanzia
  • TANZIA: Polycarp Kardinali Pengo Afariki Dunia
Tanzia

TANZIA: Polycarp Kardinali Pengo Afariki Dunia

February 20, 2026 Udaku Special

Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Dar es salam limetangaza kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa jimbo hilo, kilichotokea leo saa 4 usiku akiwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es salaam, Thaddeus S. Ruwa’ichi imeeleza kuwa taarifa za mazishi zitatangazwa baada ya mipango kukamilika

Related Posts

Tanzia

Mama Fatma Karume Afariki Dunia

September 22, 2026 Udaku Special
Tanzia

TANZIA: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Afariki Dunia

September 7, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Sakata la Dabi ya Yanga na Simba Kuhamishiwa Zanzibar, Ali Kamwe Kamdomo
Next: Kwa Nini Baadhi ya Watu Huvutia Pesa Kwa Urahisi Huku Wengine Wakipambana – Jambo Lililofichwa

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • Kauli ya Makonda yazua Mapya, Sandaland yatangaza Kuchukua Hatua za Kisheria kwa Kuchafuliwa Jina

  • Aunty Ezekiel na Kusah Wawasha Instagram kwa Picha za Mahaba

  • Mchezaji Sakho Atangaza Kurejea Simba

  • Niffer Afunguka Kuhusu Hali Ya Kiredio “Hayuko Sawa Kwa Sasa”

  • Sakata ni zito! Makonda Kuunda Kamati ya Kuchunguza Mkataba wa Mzabuni wa jezi za Taifa Stars

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.