Jina langu ni Macharia. Hakuna jambo linalouma kama kutumia akiba yako yote ya miaka mingi kununua pikipiki ya biashara ya bodaboda au usafiri wako wa kila siku, halafu siku moja unapoamka unakuta wezi wameivunja na kuitorosha usiku wa manane.
Wiki tatu zilizopita, majambazi walivunja geti la nyumba yangu na kuiba pikipiki yangu mpya niliyokuwa bado ninailipia mkopo benki. Nilibaki nikiwa nimechanganyikiwa na kulia kwa unyonge, kwani hiyo ndiyo iliyokuwa tegemeo pekee la chakula na ada za watoto wangu. SOMA ZAIDI.
