Azam FC Michezo Trending News Usajili: Azam Waacha Wachezaji Wanne Kwa Mpigo…Hawa Hapa June 23, 2024 Udaku Special Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka. Wachezaji hao ambao wamepewa ‘thank you’ leo ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala. Related Posts HABARI ZA UDAKU Trending News Mke wa MC PILIPILI alalia na kulikumbatia Jeneza la mume wake akimuaga kwa mara ya mwisho! inaumiza November 21, 2025November 21, 2025 ajirayako HABARI ZA SIASA Trending News Rais Samia Amteua Dr Mapana na Jenifa Omolo Makatibu Maendeleo ya Vijana November 21, 2025November 21, 2025 ajirayako