Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka.
Wachezaji hao ambao wamepewa ‘thank you’ leo ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala.
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka.