
VIDEO: Hamornize Afunguka Kuachana na Kajala Miezi Mitatu iliyopita
Staa mwenye Bongofleva yake, Konde wa ‘31’ @harmonize_tz kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.
Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.
View this post on Instagram
