
Shughuli imemalizika katika dimba la KMC Complex Wananchi wakisogea mpaka alama 8 mbele ya mtani wao, Simba SC.
Yanga SC wanasalia kileleni wakifikisha alama 54 baada ya mechi 22 wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya Mnyama.
Allan Okello ndiye nyota wa mchezo huo akifunga mabao mawili na kutoa asisti moja ikiwa ni mchango wa magoli 12 tangu atue jangwani mwezi Januari.
FT: Yanga SC 3-0 Coastal Union
β½ 18β Okello
β½ 62β Okello
β½ Maxi (π
°οΈ Okello)
