Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Madrid macho kwa Saliba
Chelsea wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa Morgan Rogers, mwenye umri wa miaka 22, majira ya kiangazi, wakimtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa England kuimarisha safu yao ya…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Chelsea wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa Morgan Rogers, mwenye umri wa miaka 22, majira ya kiangazi, wakimtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa England kuimarisha safu yao ya…
Dakika za mwisho Mshery amekua shujaaa wa mchezo akidaka penalti 2 huku moja Zimamoto wakigongesha mwamba…Na mikono yake imewapeleka Wananchi Fainali…Imekua mikwaju yenye thamani kwa Mshery. Yanga SC wamefuzu fainali…
“Nimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi, Sio wanafika kwenye historia zetu wanapiga kelele, jogoo anawika leo…
Aliyekuwa msemaji wa Simba ambaye kwa Sasa amehamia yanga SC Haji manara ameipongeza timu ya Simba Sc kwa kufika hatua ya Fainali na kuwataka Mashabiki wa Yanga Sc Waache Kununa…
Azam Fc imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Muungano 2025 kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya JKU FC ya Zanzibar kwenye nusu fainali. Mfungaji wa bao la pili la…
Atletico Madrid wameweka beki wa Tottenham raia wa Argentina, Cristian Romero, 27, kama moja ya wachezaji itakaowasajili msimu huu wa joto. (Marca) Manchester City wanatarajiwa kumsajili beki wa pembeni wa…
Miaka 32 iliyopita, Simba SC walifika fainali ya michuano ya Afrika (CAF Cup Winners’ Cup) mwaka 1993, wakapambana vikali dhidi ya Stella Abidjan ya Ivory Coast lakini wakateleza. Kilio hicho…
Moussa Pinpin Camara anautulivu, umakini na kujiamini anapokuwa kazini kwake sio golikia wa kawaida hata kidgo kwenye michuano hii mikubwa ya CAF Leo alikuwa na kiwango kizuri kulingana na namna…
SIMBA YATINGA FAINALI SHIRIKISHO AFRIKA Mchezo wa Leo uliochezwa nchini South Afrika Matokeo yake ni FT: Stellen B 0-0 Simba Matokeo hayo yanafanya Agg: 0-1 hivyo Simba inakwenda Moja Kwa…
MATOKEO Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025 Stellenbosch watamenyana na Simba katika Mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho mnamo Aprili 27. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 16:00…
KIKOSI cha Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025 Stellenbosch watamenyana na Simba katika Mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho mnamo Aprili 27. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa…
WANANCHI, Young Africans Sc wamefuzu kwenda nusu fainali ya kombe la Muungano 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya KVZ Fc ya Zanzibar katika uwanja wa Gombani, Pemba Zanzibar kwenye…
Arsenal wanapanga kutoa £55m kumchukua beki wa Barcelona, Jules Kounde, mwenye umri wa miaka 26. (The Sun) Nottingham Forest inaweza kuendelea na mpango wa kumchukua kiungo wa Manchester City, James…
Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la…
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly wametupwa nje ya michuano kwa bao la ugenini kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye nusu fainali.…
George Ambangile anasema itakuwa ni busara sana kwa wenye mamlaka kutafuta suluhu itayopelekea mechi ya Kariakoo Derby kati ya Simba na Yanga kuchezwa ili Timu hizo zikamilishe mechi 30 kama…