Bao pekee la Sadio Mané limewapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Egypt, na kuwafanya Simba wa Milima ya Teranga Senegal kutinga Fainali ya AFCON.
Senegal atakutana kwenye Fainali na timu moja wapo kati ya wenyeji Morocco au Nigeria ambazo zinacheza usiku wa leo.
Senegal leo wametinga Fainali yao ya tatu katika AFCON 4 zilizopita.
FT’ Senegal 1-0 Egypt
⚽️ Mane
