Khalid Aucho Asimamishwa Kazi Kwa Utoro Kazini….

Khalid Aucho Asimamishwa Kazi Kwa Utoro Kazini....
Khalid Aucho Asimamishwa Kazi Kwa Utoro Kazini….

Klabu ya Singida Black Stars imemsimamisha kazi miezi mitatu kiungo wake Khalid Aucho raia wa Uganda kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini, uamuzi uliotolewa leo Februari 27, 2026 na Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo.

Katika hatua nyingine klabu hiyo imemsimamisha kazi miezi mitatu golikipa Amas Obasogie kupisha uchunguzi wa tuhuma za upangaji wa matokeo.

Singida Black Stars imewakumbusha wachezaji na watumishi wake wote kuzingatia nidhamu, uwajibikaji na heshima kwa klabu.

Related Posts