
Timu ya Taifa ya Ubelgiji imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa pili mfululizo baada ya kutoshana nguvu kwa sare tasa dhidi ya Iran kwenye mchezo wa Kundi G wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Iran ipo kileleni mwa Kundi G alama mbili baada ya sare mbili huku Ubelgiji ikiwa nafasi ya pili baada ya sare mbili mfululizo.
FT: Belgium 🇧🇪 0-0 🇮🇷 Iran
Baadaye: saa 10:00 alfajiri
New Zealand 🇳🇿 Vs 🇪🇬 Egypt
