Donald Trump “Sijafurahishwa na Uteuzi wa Mtoto wa Ayatollah Kuwa Kiongozi Mkuu Iran”

 

Donald Trump "Sijafurahishwa na Uteuzi wa Mtoto wa Ayatollah Kuwa Kiongozi Mkuu Iran"
Donald Trump “Sijafurahishwa na Uteuzi wa Mtoto wa Ayatollah Kuwa Kiongozi Mkuu Iran”

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei.
Trump ameeleza kuwa yeye anataka kuwa na sehemu katika kuchagua Kiongozi huyo, na kumtaja Mojtaba kama mtu asiyekubalika na kusema atahitaji idhini ya Marekani ili kuendelea kuwa Kiongozi bila matatizo.
Trump pia amesema kwamba kiongozi huyo hataishi muda mrefu bila idhini ya Marekani.
Hii kauli imekuja katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa na kijeshi kati ya Marekani, Israel na Iran, ambapo Iran tayari imemchagua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wake mpya.

Related Posts