
Bara la Afrika linaendelea kuweka historia baada ya kuingiza timu 10 kwenye hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, timu 9 kati ya 10 zimetinga hatua ya mtoano ya michuano hiyo.
Tunisia imekuwa Taifa pekee Kati ya mataifa 10 yaliyofuzu kushiriki michuano hiyo kushindwa kuvuka hatua ya makundi baada ya kupoteza mechi zote tatu kwenye hatua hiyo na kushindwa kufuzu hatua ya 32 bora.
TIMU 9 ZA AFRIKA ZILIZOTINGA HATUA YA 32 BORA:
โ
๐ฟ๐ฆ South Africa
โ
๐จ๐ป Cape Verde
โ
๐จ๐ฎ Ivory Coast
โ
๐ฒ๐ฆ Morocco
โ
๐ธ๐ณ Senegal
โ
๐ฌ๐ญ Ghana
โ
๐ช๐ฌ Egypt
โ
๐จ๐ฉ RD Congo
โ
๐ฉ๐ฟ Algeria
โ๐น๐ณ Tunisia
