Brian Odhiambo, mkazi wa Kakamega, alikuwa ameishi maisha ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa zaidi ya miaka miwili. Licha ya kuwa na vyeti na uzoefu mdogo, kila alipoomba kazi alipokea majibu ya kukataliwa au hakuitwa kabisa kwa usaili.
Kwa mujibu wake, hali hiyo ilimletea msongo wa mawazo na hata kuanza kupoteza kujiamini. Alianza..SOMA ZAIDI
