
Waafrika, Cape Verde wameendelea kukataa unyonge kwenye Michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada kuilazimisha SpainΒ sare tasa kabla ya kutoshana nguvu na Uruguay kwenye sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Kundi H katika dimba la Miami, Florida Marekani.
FT: Uruguay πΊπΎ 2-2 π¨π» Cape Verde
β½ 44β Araujo
β½ 45+6β Canobbio
β½ 21β Lenini
β½ 61β Varela
MSIMAMO KUNDI H (baada ya mechi mbili)
1. πͺπΈ Spain 4
2. πΊπΎ Uruguay 2
3. π¨π» Cape Verde 2
4. πΈπ¦ Saudi Arabia 1
