Mchezaji Pacome Atoa Ishara ya Kuwaaga Wana Yanga Uwanjani Baada ya Kufunga Goli

Mchezaji Pacome Atoa Ishara ya Kuwaaga Wana Yanga Uwanjani Baada ya Kufunga Goli
Mchezaji Pacome Atoa Ishara ya Kuwaaga Wana Yanga Uwanjani Baada ya Kufunga Goli

Pacome ameeleza sababu za kuweka ishara ya kufunga mikono juu mbele ya wananchi baada ya kutupia bao dhidi ya Fountain Gate FC.

Pacome anasema ile ilikuwa ishara ya shukurani zake nyingi kwa wananchi ambao waliendelea kumuunga mkono hata kipindi alipokuwa anapitia magumu.

“Ishara ile ni kuwashukuru Mashabiki wa Yanga ambao wameweza kunivumilia katika kipindi kigumu. Nilicheza nikiwa na maumivu kwenye goti kwa kipindi kirefu kidogo Lakini mara zote wamekuwa pamoja na mimi hata ninapokuwa katika nyakati ngumu uwanjani.

“Goli dhidi ya Fountain Gate ni muhimu sana kwangu katika wakati huu tunapoelekea mwisho wa Msimu. Najisikia vizuri sasa na niko tayari kuwapa Mashabiki wetu kile wanachokitarajia kutoka kwetu. Waje kwa wingi uwanjani kutusapoti kwenye mechi hizi za mwisho”

Related Posts