
Waafrika, Cape Verde wameendelea kukataa unyonge kwenye Michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada kuilazimisha Spain sare tasa kabla ya kutoshana nguvu na Uruguay kwenye sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Kundi H katika dimba la Miami, Florida Marekani.
FT: Uruguay 🇺🇾 2-2 🇨🇻 Cape Verde
⚽ 44’ Araujo
⚽ 45+6’ Canobbio
⚽ 21’ Lenini
⚽ 61’ Varela
MSIMAMO KUNDI H (baada ya mechi mbili)
1. 🇪🇸 Spain 4
2. 🇺🇾 Uruguay 2
3. 🇨🇻 Cape Verde 2
4. 🇸🇦 Saudi Arabia 1
