Kylian Mbappe Afikia Rekodi ya Ronaldo De Lima Kama Mchezaji Mwenye Magoli Mengi

Kylian Mbappe Afikia Rekodi ya Ronaldo De Lima Kama Mchezaji Mwenye Magoli Mengi
Kylian Mbappe Afikia Rekodi ya Ronaldo De Lima Kama Mchezaji Mwenye Magoli Mengi

Kylian Mbappe amefunga bao lake la 15 kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA na kufikia rekodi ya Ronaldo Nazario kama mchezaji wa tatu mwenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya michuano hiyo baada ya Lionel Messi (18) na Miroslav Klose 16.

HT: France 🇫🇷 1-0 🇮🇶 Iraq
⚽ 14’ Mbappe

VINARA WA MAGOLI KOMBE LA DUNIA
18 — Lionel Messi (Argentina)
16 — Miroslav Klose (Germany)
15 — Kylian Mbappé (France)
15 — Ronaldo (Brazil)
14 — Gerd Müller (Germany)
14 — Kylian Mbappé (France)
13 — Just Fontaine (France)
12 — Pelé (Brazil)

Related Posts