Neymar Acheza MECHI ya Kwanza Kombe la Dunia 2026 Brazil Ikitinga 32 Bora

Neymar Acheza MECHI ya Kwanza Kombe la Dunia 2026 Brazil Ikitinga 32 Bora
Neymar Acheza MECHI ya Kwanza Kombe la Dunia 2026 Brazil Ikitinga 32 Bora

Timu za Taifa za Brazil na Morocco zimefuzu hatua ya 32 bora kufuatia ushindi kwenye michezo ya raundi ya mwisho za hatua ya makundi, Brazil ikiilaza Scotland 3-0 huku Morocco ikiibamiza Haiti 4-2 kwenye michezo ya Kundi A.

Scotland imemaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi A huku ikiwa na matumaini ya kufuzu hatua ya 32 bora kupitia nafasi ya mshindi bora wa nafasi ya tatu ya makundi β€˜best loser’

FT: Scotland 🏴󠁧󠁒󠁳󠁣󠁴󠁿 0-3 πŸ‡§πŸ‡· Brazil
⚽ 07’ Vini Jr
⚽ 45+3’ Vini Jr
⚽ 60’ Cunha

FT: Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ 4-2 πŸ‡­πŸ‡Ή Haiti
⚽ 39’ Hakimi
⚽ 45+1’ Saibari
⚽ 78’ Rahimi
⚽ 89’ Yassine
⚽ 10’ Bono (OG)
⚽ 43’ Isidor

MSIMAMO KUNDI A
1. Brazil 7
2. Morocco 7
3. Scotland 3
4. Haiti 0

Related Posts