
Timu za Taifa za Brazil na Morocco zimefuzu hatua ya 32 bora kufuatia ushindi kwenye michezo ya raundi ya mwisho za hatua ya makundi, Brazil ikiilaza Scotland 3-0 huku Morocco ikiibamiza Haiti 4-2 kwenye michezo ya Kundi A.
Scotland imemaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi A huku ikiwa na matumaini ya kufuzu hatua ya 32 bora kupitia nafasi ya mshindi bora wa nafasi ya tatu ya makundi ‘best loser’
FT: Scotland 🏴 0-3 🇧🇷 Brazil
⚽ 07’ Vini Jr
⚽ 45+3’ Vini Jr
⚽ 60’ Cunha
FT: Morocco 🇲🇦 4-2 🇭🇹 Haiti
⚽ 39’ Hakimi
⚽ 45+1’ Saibari
⚽ 78’ Rahimi
⚽ 89’ Yassine
⚽ 10’ Bono (OG)
⚽ 43’ Isidor
MSIMAMO KUNDI A
1. Brazil 7
2. Morocco 7
3. Scotland 3
4. Haiti 0
