
TANGAZO LA MAUZO: GARI YA MIGUU MITATU (BAJAJ CARGO)
Aina: Piaggio Ape City Cargo
Mwaka: 2024
Bei: TSh 11,000,000/= (Milioni 11 – Maongezi Yapo)
- Gari Haijatumika Tanzania
Mahali: Dar es Salaam
Mawasiliano: 0753 553 318
SIFA ZA GARI:
-
Injini: 245 cc (Imara na yenye nguvu)
-
Mafuta: Diesel (Inabana matumizi sana)
-
Uwezo wa Mzigo: Kilo 500 (Kg 500)
-
Ukubwa wa Bodi: Lapana cm 140 | Urefu cm 150 | Kina cm 50
Gari ipo kwenye hali nzuri sana, tayari kwa kazi za usafirishaji wa mizigo ya biashara na itakuletea faida ya haraka. Haijatumika Tanzania
Piga simu 0753 553 318 sasa hivi kuja kuiona na kumalizana!



