Gari ya Miguu Mitatu (Bajaj Cargo) Inauzwa Bei Rahisi

TANGAZO LA MAUZO: GARI YA MIGUU MITATU (BAJAJ CARGO)

Aina: Piaggio Ape City Cargo

Mwaka: 2024

Bei: TSh 11,000,000/= (Milioni 11 – Maongezi Yapo)

  • Gari Haijatumika Tanzania

Mahali: Dar es Salaam

Mawasiliano: 0753 553 318

SIFA ZA GARI:

  • Injini: 245 cc (Imara na yenye nguvu)

  • Mafuta: Diesel (Inabana matumizi sana)

  • Uwezo wa Mzigo: Kilo 500 (Kg 500)

  • Ukubwa wa Bodi: Lapana cm 140 | Urefu cm 150 | Kina cm 50

Gari ipo kwenye hali nzuri sana, tayari kwa kazi za usafirishaji wa mizigo ya biashara na itakuletea faida ya haraka. Haijatumika Tanzania

Piga simu 0753 553 318 sasa hivi kuja kuiona na kumalizana!

Related Posts