πππππππ ππ ππππππ MAMBO YA πππππ!
Kocha Manqoba Mngqithi ameeleza changamoto anazodai kuikabili Yanga, akigusia nidhamu ya wachezaji na umuhimu wa uongozi kusimamia mabadiliko ndani ya klabu hiyo.
βYanga inapitia kipindi kigumu cha mabadiliko, na mabadiliko hayo yanahitaji nguvu na msimamo kutoka kwa kocha pamoja na uongozi ili kuondoa tabia zisizofaa.
Pale Yanga, ni jambo la kawaida kwa mchezaji kukosa mazoezi bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ninaamini mambo hayo ndiyo yanayoisambaratisha klabu hii kwa kiasi kikubwa.β
