Klabu ya πΉπΏYanga imebadilisha utaratibu wa wachezaji kuingia kambini baada ya kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika na π©πΏMC Algers.
Yanga ilikuwa na utaratibu kwa wachezaji wake kukutana siku chache kabla ya mchezo wakitokea majumbani kwao na sasa watakuwa wakikaa kambini kwa muda wote.

.png)