Yanga Yashtuka, Yabadili Utaratibu wa Kukaa Kambini

Klabu ya πŸ‡ΉπŸ‡ΏYanga imebadilisha utaratibu wa wachezaji kuingia kambini baada ya kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika na πŸ‡©πŸ‡ΏMC Algers.

Yanga ilikuwa na utaratibu kwa wachezaji wake kukutana siku chache kabla ya mchezo wakitokea majumbani kwao na sasa watakuwa wakikaa kambini kwa muda wote.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *